RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein
STATE HOUSE OF ZANZIBAR

News and Events

17
May
2012

Ujenzi wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar Tunguu umekamilika kwa asilimia 90 (90%)


WIZARA ya Elimu na Mafunzo ya Amali imeeleza kuwa ujenzi wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar Tunguu umekamilika kwa asilimia 90 ambapo Mkandarasi ameahidi kukamilisha kazi…

16
May
2012

Licha ya mfumko wa Bei za vyakula kuwa juu lakini bado Zanzibar ziko chini,tofaut na nchi nyengine


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa licha ya mfumko wa bei za vyakula kuwa juu lakini bado Zanzibar kuna unafuu ikilinganishwa…

11
May
2012

Utengenezaji wa waya wa baharini umekamilika na hivi sasa uko njiani kuletwa Zanzibar


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein amekutana na Watendaji na Viongozi wa Wizara ya Ardhi, Makaazi, Maji na Nishati ambapo wameeleza…

10
May
2012

Hospitali kuu ya Mnazi Mmoja kuwa Hospitali ya rufaa.


Hospitali kuu ya Mnazi Mmoja kuwa  Hospitali ya rufaa.

WIZARA ya Afya imeeleza hatua zilizofikiwa na zinazoendelea kuchukuliwa katika kutekeleza azma ya kuifanya hospitali kuu ya Mnazi Mmoja kuwa hospitali ya rufaa. Maelezo hayo…

More on News and Events

Subscribe to Update

About the President's Office


Dr. Ali Mohamed Shein

H.E. Dr. Ali Mohamed Shein
President of Zanzibar and Chairman of Revolutionary Council


Action Plans

Zanzibar Relief Efforts  



MEMBERS LOGIN

WEBMAIL LOGIN