News and Events

Dk.Shein Amezindua Jengo la Mahakama ya Wilaya Mwanakwerekwe

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa kukamilika kwa ujenzi wa Mahakama ya Wilaya Mwanakwerekwe kutatoa fursa kwa Mahakimu watakaoitumia Mahkama hiyo kufanya kazi… Read More

Dk.Shein amefanya Mazungumzo na Balozi wa Indonesia.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amepongeza azma ya Indonesia ya kukuza uhusiano na ushirikiano kati yake na Zanzibar katika sekta ya utalii, biashara kupitia zao la karafuu… Read More

Dk.Shein Ameshiriki Katika Chakula cha Mchana na Vikosi vya SMT na SMZ

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein leo ameungana pamoja na Wapiganaji wa Vikosi vya Ulinzi walioshiriki katika gwaride la kutimiza miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar katika… Read More

Dk.Shein ameondoka nchini kwenda nchi za Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE)

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein ameondoka nchini leo kwenda nchi za Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kwa ziara ya wiki moja kufuatia muwaliko wa viongozi wa nchi za Umoja… Read More