State House Blog

Dk.Shein akipokea Hundi Millioni Ishirini na kutoka kwa Mkurugenzi Masoko katika Benki ya CRDB

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipokea Hundi ya Shilingi za Kitanzania Millioni Ishirini na kutoka kwa Mkurugenzi Masoko katika Benki ya CRDB Nd,Tully Esther Mwambapa,zilizoahidiwa na Benki hiyo kwa ajili ya mchango wa madawati kwa Skuli za Serikali,sambamba na kupokea Milioni tano kwa ajili ya Ujenzi katika Skuli ya chekechea Madungu Wilaya ya Chakechake Pemba,ujumbe wa Benki hiyo ulipofika Ikulu Mjini Unguja
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na ujumbe wa Benki ya CRDB unaoongozwa na Mkurugenzi Masoko Nd,Tully Esther Mwambapa (wa pili kulia) ulipofika Ikulu Mjini Unguja 09/11/2017.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akiagana na Mkurugenzi Masoko wa Benki ya CRDB Nd,Tully Esther Mwambapa baada ya mazungumzo alipofika Ikulu Mjini Unguja akiwa na Ujumbe aliofuatana nao 09/11/2017.