State House Blog

Dk.Shein, akitunuku Nishani ya Mapinduzi Viongozi na Wananchi Wenye Sifa Maalum

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa katika picha na Wawakilishi na Ndugu na Jamaa wa Viongozi marehemu waliofika mbele ya haki wakipokea kwa niaba ya Wazee wao,Nishani za Mapinduzi na Utumishi wa Serikali baada ya hafla hiyo ya kukabidhi iliofanyika katika viwanja vya Ikulu Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimtunuki Nishani ya Mapinduzi Viongozi Wenye Sifa Maalum Msanii Maarufu wa Taarab Zanzibar Mwanacha Hassan Kijore, hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Ikulu Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa katika picha ya Watunukiwa wa Nishani za Mapinduzi na Utumishi wa Serikali baada ya hafla hiyo ya kukabidhi iliofanyika katika viwanja vya Ikulu Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimtunuku Nishani ya Mapinduzi Viongozi na Wananchi Wenye Sifa Maalum, Maulid Salum, hafla hiyi imefanyika katika Viwanja vya Ikulu Zanzibar.