State House Blog

Dk.Shein amewatunuku Nishani watunukiwa 74

 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akiwa amesimama wakati ukipingwa Wimbo wa Taifa wakati wa hafla ya kutunuku Nishani ya Mapinduzi, Nishani ya Utumishi Uliotukuka katika viwanja vya Ikulu Zanzibar leo 11-1-2018.kuadhimisha miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akiwasalimia Wakuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama wakati wa hafla ya kutunuku Nishani ya Mapinduzi, Nishani ya Utumishi Uliotukuka katika viwanja vya Ikulu Zanzibar
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa katika picha na Wawakilishi na Ndugu na Jamaa wa Viongozi marehemu waliofika mbele ya haki wakipokea kwa niaba ya Wazee wao,Nishani za Mapinduzi na Utumishi wa Serikali baada ya hafla hiyo ya kukabidhi iliofanyika katika viwanja vya Ikulu Zanzibar.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa katika picha ya Watunukiwa wa Nishani za Mapinduzi na Utumishi wa Serikali baada ya hafla hiyo ya kukabidhi iliofanyika katika viwanja vya Ikulu Zanzibar.
 • BAADHI ya Viongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na wageni waalikwa wakifuatilia hafla hiyo hiyo iliofanyika katika viwanja vya Ikulu Zanzibar.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimtunuku Nishani ya Mapinduzi Viongozi na Wananchi Wenye Sifa Maalum Lt Col. Mstaaf Songoro Abdi Waziri, hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Ikulu Zanzibar.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimtunuku Nishani ya Mapinduzi Viongozi na Wananchi Wenye Sifa Maalum Salum Nassor Said (MKWECHE) hfla hiyo ya kukabidhiwa nishani hizo imefanyika katika viwanja vya Ikulu Zanzibar.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimtunuku Nishani ya Mapinduzi Viongozi na Wananchi Wenye Sifa Maalum Abdulsalam Issa Khatib. hafla hiyi imefanyika katika Viwanja vya Ikulu Zanzibar.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Viongozi wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama,wakati wa hafla hiyo iliofanyika katika viwanja vya Ikulu Zanzibar.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimtunuku Nishani ya Mapinduzi Viongozi na Wananchi Wenye Sifaa Maalum Bi. Fatma Said Ali, hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Ikulu Zanzibar kuadhimisha miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimtunuku Nishani ya Mapinduzi Viongozi na Wananchi Wenye Sifa Maalum Jaji Damiain Z Lubuva, hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Ikulu Zanzibar
 • BAADHI ya Viongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na wageni waalikwa wakiwa wamesimama wakati ukiinbwa wimbo wa taifa katika hafla ya utoaji wa Nishani iliofanyika katika viwanja vya Ikulu Zanzibar.
 • .BAADHI ya Viongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na wageni waalikwa wakifuatilia hafla hiyo hiyo iliofanyika katika viwanja vya Ikulu Zanzibar.
 • BAADHI ya wageni waalikwa wakifuatilia hafla hiyo hiyo iliofanyika katika viwanja vya Ikulu Zanzibar.
 • BAADHI ya wageni waalikwa wakifuatilia hafla hiyo hiyo iliofanyika katika viwanja vya Ikulu Zanzibar.
 • BAADHI ya Viongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na wageni waalikwa wakifuatilia hafla hiyo hiyo iliofanyika katika viwanja vya Ikulu Zanzibar.