State House Blog

RAIS WA ZANZIBAR NA MBLM DK SHEIN AFUNGUA MKUTANO MKUU WA MKOA WA KUSINU UNGUJA

  • MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiwa katika meza kuu na Viongozi wa CCM baada ya kuwasili katika ukumbi wa Mkutano Mkuu wa CCM Mkoa Kusini Unguja kufungua mkutano huo, kulia Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Abdallah Juma, Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Msimamizi wa Uchaguzi huo Profesa Makame Mbarawa na kulia Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja Ramadhani Abdallah Ali na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM pia ni Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan.
  • MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akisoma baada ya Vitabu vya Taarifa ya Utendaji ya CCM Mkoa wa Kusini Unguja baada ya kukabidhiwa, kushoto Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja Ramadhani Andallah Ali na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM pia ni Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan. wakiwa katika ukumbi wa mkutano