State House Blog

Uzinduzi wa Pasipoti mpya ya Kieletronikia.

 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Rais Mataaf wa Zanzibar Dk. Amani Karume alipowasili katika viwanja vya Makao Makuu ya Uhamiaji Kurasini Jijini Dar es Salaam kuhudhuria hafla ya Uzinduzi wa Pasipoti Mpya za Kieletronikia.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alipowasili katika viwanja vya Makao Makuu ya Uhamiaji Kurasini Jijini Dar es Salaam kuhudhuria hafla ya Uzinduzi wa Pasipoti Mpya za Kieletronikia.
 • RAIS wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Tanzania Mhe.Mwigulu Lameck Nchemba, alipowasili katika viwanja vya Makao Makuu ya Idara ya Idara ya Uhamiaji Kurasini Jijinin Dar es Salaam kwa ajili ya Uzinduzi wa Pasipoti Mpya za Kieletronikia.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akionesha Pasipoti yake Mpya ya kieletronikia baada ya kukabidhiwa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe Mwigulu Lameck Nchemba.
 • RAIS wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Viongozi wa meza kuu wakiwa wamesimama wakati ukipigwa Wimbo wa Taifa.
 • MAOFISA Wakuu wa Idara ya Uhamiaji Tanzania wakitowa saluti wakati ukipigwa wimbo wa Taifa kabla ya kuaza kwa hafla hiyo.
 • KAMISHNA Mkuu wa Idara ya Uhamiaji Tanzania Dkt. Anna Peter ,Makakala, akitowa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli wakiti wakitembelea majengo ya Idara ya Uhamiaji Makao Makuu kurasini Dar es Salaam.
 • Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiweka alama ya vidole wakati wa uzinduzi wa Pasipoti Mpya za Tanzania za kieletronikia wakati wa uzinduzi huo uliofanyika katika Majengo ya Makao Makuu ya Idara ya Uhamiaji Kurasini kushoto Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akihudhuria hafla hiyo.
 • KAMISHNA Mkuu wa Idara ya Uhamiaji Tanzania Dkt. Anna Peter ,Makakala, akitowa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli wakiti wakitembelea majengo ya Idara ya Uhamiaji Makao Makuu kurasini Dar es Salaam.
 • RAIS wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizindua Pasipoti Mpya za Tanzania kwa kuponyenza kitufe kuashiria uzinduzi huo.
 • RAIS wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, wakiangalia Pasipoti Mpya za Tanzania za Kieletronikia wakati wa uzinduzi huo wakipata maelezo ya Ubora wake kutoka kwa Kamishna Mkuu wa Idara ya Uhamiaji Tanzania Dk. Anna Peter Makakala.
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiangalia na kusoma ratiba ya hafla ya uzinduzi wa Pasipoti Mpya ya Tanzania, kulia Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa na Rais Mstaaf wa Zanzibar Dkt. Amani Karume wakiwa katika hafla hiyo kurasini Jijini Dar es Salaam.
 • BALOZI wa Ireland Nchini Tanzania Balozi Paul Sherlock, akitowa maelezo wakati wa uzinduzi huo wa Pasipoti mpya za Tanzania uliofanyika katika viwanja vya Idara ya Uhamiaji Makao Makuu Kurasini Jijini Dar es Salaam.
 • KAMISHNA Mkuu wa Idara ya Uhamiaji Tanzania Dk. Anna Peter Makakala akitowa maelezo ya kitaalamu ya utengenezaji wa Pasipoti Mpya za Tanzania wakati wa uzinduzi wake uliofanyika katika Majengo ya Makao Makuu ya Uhamiaji Kurasini Jijini Dar es Salaam.
 • BAADHI ya Waalikwa na Mabalozi wanaowakilisha Nchi zao Tanzania wakifuatilia hafla hiyo ya Uzinduzi wa Pasipoti Mpya za Kielotronikia.
 • WANANCHI wa Jiji la Dar es Salaam wakifuatilia hafla hiyo ya Uzinduzi Pasipoti Mpya za Tanzania zilizozinduliwa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika viwanja vya kurasini Makao Makuu ya Uhamiaji.
 • MAOFISA wa Idara ya Uhamiaji Tanzania wakifuatilia hutuba ya Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Pasipoti Mpya ya Kieletronikia.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Rais Mataaf wa Zanzibar Dk. Amani Karume alipowasili katika viwanja vya Makao Makuu ya Uhamiaji Kurasini Jijini Dar es Salaam kuhudhuria hafla ya Uzinduzi wa Pasipoti Mpya za Kieletronikia.