State House Blog

Uzinduzi wa Upimaji wa afya Watoto wa kituo cha Mazizini Unguja

  • Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akitoa hutuba yake wakati wa hafla ya Uzinduzi wa huduma maalum ya Upimaji wa Afya za Watoto iliyofanyika katika Kituo cha kulelea Watoto Mazizini Wilaya ya Magharibi "A" Unguja Mkoa wa Mjini Magharibi (kulia) Waziri wa Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Vijana,Wanawake na Watoto Mhe.Moudline Cyrus Castico na Mke wa Balozi Mdogo wa China Mhe.Mama Liu Jie (kushoto) 04/11/2017.
  • Baadhi ya Madaktari wa kujitolea kutoka Jamhuri ya Watu wa China,Wananchi na Watoto wakiwa katika hafla ya Uzinduzi wa huduma maalum ya Upimaji wa Afya za Watoto wanaolelewa katika Kituo cha kulelea Watoto Mazizini Wilaya ya Magharibi "A" Mkoa wa Mjini Magharibi iliyofanyika mgeni rasmi akiwa Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein (hayupo pichani) 04/11/201
  • Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein na Mke wa Balozi Mdogo wa China aliyepo Zanzibar Mama Liu Jie(katikati kulia) pamoja na Viongozi wengine wakiangalia Ngoma ya Utamaduni kutoka China iliyochezwa na vijana wa Zanzibar na China katika hafla ya Uzinduzi wa huduma maalum ya Upimaji wa Afya za Watoto iliyofanyika katika Kituo cha kulelea Watoto Mazizini Wilaya ya Magharibi "A" Unguja Mkoa wa Mjini Magharibi 04/11/2017
  • Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akimpakata Mtoto Yussuf Abdalla Abdilah akifanyiwa uchunguzi wa Dr.Qin Qin (kulia) kutoka china akiwa ni miongoni mwa Madakatri wa kujitolea akati wa hafla ya Uzinduzi wa huduma maalum ya Upimaji wa Afya za Watoto iliyofanyika katika Kituo cha kulelea Watoto Mazizini Wilaya ya Magharibi "A" Unguja Mkoa wa Mjini Magharibi
  • Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein na Mke wa Balozi Mdogo wa China aliyepo Zanzibar Mama Liu Jie (katikati) pamoja na Viongozi wengine wakiwa picha ya pamoja na Madaktari wa Kichina wakati wa hafla ya Uzinduzi wa huduma maalum ya Upimaji wa Afya za Watoto iliyofanyika katika Kituo cha kulelea Watoto Mazizini Wilaya ya Magharibi "A" Unguja Mkoa wa Mjini Magharibi, 04/11/2017
  • Mke wa Balozi Mdogo wa China aliyepo Zanzibar Mama Liu Jie (katikati) akimpakata mtoto wakati wa hafla ya Uzinduzi wa huduma maalum ya Upimaji wa Afya za Watoto iliyofanyika leo katika Kituo cha kulelea Watoto Mazizini Wilaya ya Magharibi "A" Unguja Mkoa wa Mjini Magharibi,(kulia) Dr.Guo Yulan akiendelea na zoezi hilo,wakiwepo na Viongozi wengine Dr.Wang Hao,Waziri wa Kazi,Uwezeshaji, Wazee,Vijana,Wanawake na Watoto Mhe.Moudline Cyrus Castico,Katibu Mkuu Bi.Fatma Gharib Bilali na Naibu Wazuiri wa Afya Mhe,Harusi Said Suleiman,04/11/2017
  • Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein na Mke wa Balozi Mdogo wa China aliyepo Zanzibar Mama Liu Jie (kushoto) pamoja na Viongozi wengine wakiwaangalia Watoto wa Kituo cha mazizini wakiimba Wimbo maalum wa kuwakaribisha wageni katika hafla ya Uzinduzi wa huduma maalum ya Upimaji wa Afya za Watoto iliyofanyika katika Kituo cha kulelea Watoto Mazizini Wilaya ya Magharibi "A" Unguja Mkoa wa Mjini Magharibi, 04/11/2017.
  • WAHITIMU Chuo Kikuu cha Taiza Zanzibar (SUZA) wakiwa katika maandamano wakielekea katika ukumbi wa Mahafali wa Dk. Ali Mohamed Shein,Tunguu.