Dk.Shein akipokea Hundi Millioni Ishirini na kutoka kwa Mkurugenzi Masoko katika Benki ya CRDB

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipokea Hundi ya Shilingi za Kitanzania Millioni Ishirini na kutoka kwa Mkurugenzi Masoko katika Benki ya CRDB Nd,Tully Esther Mwambapa,zilizoahidiwa na Benki hiyo kwa ajili ya mchango wa madawati kwa Skuli za Serikali,sambamba na kupokea Milioni tano kwa ajili ya Ujenzi katika Skuli ya chekechea Madungu Wilaya ya Chakechake Pemba,ujumbe wa Benki hiyo ulipofika Ikulu Mjini Unguja