Dk.Shein amewaapisha viongozi mbali mbali alio wateua hivi karibuni

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Bw.George Joseph Kazi kuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais,Katiba,Sheria,Utumishi wa Umma na Utawala Bora katika hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,kabla alikuwa Mrajis wa Mahkama Kuu ya Zanzibar