Maonesho ya Maadhimisho ya siku ya Chakula Duniani

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk.Ali Mohamed Shein pamoja na Viongozi wakiwa picha ya pamoja na wajumbe wa Kamati ya maandalizi ya maonesho ya Maadhimisho ya siku ya Chakula Duniani katika Viwanja vya eneo maalum lililotengwa Kizimbani Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja leo baada ya kufunguliwa rasmi na Mhe.Rais Shein,