Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akimpakata Mtoto Yussuf Abdalla Abdilah

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akimpakata Mtoto Yussuf Abdalla Abdilah akifanyiwa uchunguzi wa Dr.Qin Qin (kulia) kutoka china akiwa ni miongoni mwa Madakatri wa kujitolea akati wa hafla ya Uzinduzi wa huduma maalum ya Upimaji wa Afya za Watoto iliyofanyika katika Kituo cha kulelea Watoto Mazizini Wilaya ya Magharibi "A" Unguja Mkoa wa Mjini Magharibi