MKUTANO WA HALMASHAURI KUU YA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM TAIFA IKULU DAR.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pia Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Taifa Dkt.John Pombe Magufuli alipokuwa akiendesha Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Dar es Salaam,Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara Rodrick Mpogolo,