Publications

Hutuba ya Mhe.Rais wa Zanzibar katika Baraza la Idd el Fitri.

Hotuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Al haj Dk. Ali Mohamed Shein,katika Baraza la Idd El Fitri Julai, 2015 (1 SHAWWAL, 1436) BISMILLAHI RAHMANI RAHIM Napenda nianze kwa kumshukuru… Read More

Hutuba ya Rais wa Zanzibar wakati wa kulivunja Baraza la nane la Wawakilishi, tarehe 26 juni, 2015

Mheshimiwa Pandu Ameir Kificho, Spika wa Baraza la Wawakilishi, Mheshimiwa Balozi Seif Ali Iddi, Makamu wa Pili wa Rais, Mheshimiwa Omar Othman Makungu, Jaji Mkuu wa Zanzibar, Waheshimiwa Wenyeviti wa Baraza la… Read More

Hotuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk,Shein katika kilele cha mei mosi.

Mheshimiwa Waziri wa Nchi (OR) Kazi na Utumishi wa Umma, Mwenyekiti wa Shirikisho la Vyama Huru vya Wafanyakazi Zanzibar, Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba, Waheshimiwa Mawaziri na Manaibu Waziri mliohudhuria,… Read More

Uzinduzi wa mbio za Mwenge wa Uhuru Aprili 29 2015

Mheshimiwa Dkt. Fenella Mukangara; Waziri wa Habari, Vijana Utamaduni na Michezo; Mheshimiwa Zainabu Omar Mohamed; Waziri wa Uwezeshaji, Ustawi wa Jamii, Vijana, Wanawake na Watoto – Zanzibar; Waheshimiwa Mawaziri… Read More

Jarida la Ikulu Toleo No.19 January - February 2015

Rais wa Ujerumani ausifu Utamaduni,Mila na Silka za Watu wa Zanzibar Read More

Jarida la Ikulu Toleo No.18 November - December 2014

Dk.Shein adhihirisha kwa Vitendo dhamira ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kuimarisha Michezo kwa vitendo. Read More

Miaka 4 ya Dk.Shein tokea kuundwa kwa SMZ yenye Muundo wa Umoja wa Kitaifa

Tunajivunia amani, utulivu na maendeleo.Wananchi wa Zanzibar wanayo kila sababu ya kusherehekea mafanikio yaliyopatikana katika kipindi cha miaka minne (4) tokea kuundwa kwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar yenye… Read More

Hutuba ya Rais wa Zanzibar na MBLM Dk.Ali Shein katika sherehe za maadhimisho miaka 51 ya Mapinduzi.

HOTUBA YA RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI, MHE. DK. ALI MOHAMED SHEIN, KATIKA SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 51 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR, AMAAN STADIUM TAREHE 12 JANUARI, 2015 Mheshimiwa Dk.… Read More