Reports

Hotuba ya Rais Dk.Ali Mohamed Shein,katika maadhimisho ya Miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar

HOTUBA YA RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI, MHE. DK. ALI MOHAMED SHEIN, KATIKA MAADHIMISHO YA SHEREHE ZA MIAKA 52 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR, AMAAN STADIUM TAREHE 12 JANUARI, 2016 Mheshimiwa Dk.… Read More

Hotuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk,Shein katika kilele cha mei mosi.

Mheshimiwa Waziri wa Nchi (OR) Kazi na Utumishi wa Umma, Mwenyekiti wa Shirikisho la Vyama Huru vya Wafanyakazi Zanzibar, Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba, Waheshimiwa Mawaziri na Manaibu Waziri mliohudhuria,… Read More

Risala ya Mhe:Rais wa Zanzibar na MBLM,kwa ajili ya uzinduzi wa sherehe za miaka 50 ya Mapinduzi.

Ndugu Wananchi, Naanza kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa mara nyengine kwa kutujaalia kufunga na kukamilisha Mwezi Mtukufu wa Ramadhani na tukaweza kusherehekea Sikukuu ya Idd el Fitri kwa furaha, amani na utulivu.… Read More

Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar yakabithi ripoti ya miaka mitano kwa Rais

WAJUMBE wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar wanaomaliza muda wao wa utumishi, wamemkabidhi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein Ripoti ya miaka mitano ya Tume ya Uchaguzi katika… Read More

Ripoti ya Tume ya kuchunguza ajali ya kuzama kwa Meli ya MV. SKAGIT

Siku ya tarehe 18/07/2012 ikiwa ni miezi kumi tu baada ya kutokea ajali mbaya ya kuzama kwa meli ya MV Spice Islander I ambayo ilipoteza maisha ya watu 1,529, wananchi wa Tanzania walipokea tena kwa mshtuko na majonzi… Read More

Dk.Shein amekabidhiwa ripoti ya kuzama kwa Meli ya MV Skagit

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein amekabidhiwa ripoti ya kuzama kwa Meli ya MV Skagit na Tume ya Uchunguzi wa ajali hiyo inayoongozwa na Mwenyekiti wake Mhe. Jaji Abdulhakim… Read More