News and Events

17
Feb
2017

Azma ya Benki ya NMB ni kuimarisha uchumi na kuleta tija kwa wananchi katika jamii


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk. Ali Mohamed Shein ameeleza kuwa azma ya Benki ya NMB ya kuendelea kuziunga mkono juhudi za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar katika kuimarisha miradi ya maendeleo katika jamii zitasaidia kuimarisha uchumi na kuleta…

Read More
13
Feb
2017

Dk.Shein akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar


Dk.Shein akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk.Ali Mohamed Shein akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Salum Kassim Ali wakati alipotembelea majengo ya Ofisi za Tume hiyo leo Maisara Mjini Unguja,

Read More
13
Feb
2017

Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) kupatiwa ofisi zinazokwenda na wakati kabla ya uchaguzi ujao


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa Tume zote duniani zina majengo na ofisi zinazofanana na hadhi na kazi zinazofanywa na ofisi hizo hivyo, Serikali anayoiongoza itahakikisha Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) inapata…

Read More
12
Feb
2017

Suala la udhalilishaji wa kijinsia, hasa kwa wanawake na watoto limekuwa sugu


MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein amesema kuwa suala la udhalilishaji wa kijinsia, hasa kwa wanawake na watoto limekuwa sugu katika jamii hivi sasa kutokana na kusikika kila kukicha, hali ambayo haitoi picha nzuri katika jamii.

Read More
10
Feb
2017

Mabalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania walioteuliwa hivi karibuni kuiwakilisha Tanzania


Mabalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania walioteuliwa hivi karibuni kuiwakilisha Tanzania

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Mabalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania walioteuliwa hivi karibuni kuiwakilisha Tanzania katika Nchi mbali mbali Duniani

Read More

Subscribe to Update