News and Events

29
Jun
2017

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohanmed Shein,


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohanmed Shein,

akimtunuku Nishani ya Utumishi Uliotukuka Kanali Ali Mtumweni Hamadi akiwa ni Mtumishi wa Idara Maalum za SMZ katika hafla ya Sherehe Maalum ya Kutunuku nishani mbali mbali iliyofanyika katika Viwanja vya Ikulu Mjini Unguja.

Read More
29
Jun
2017

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,

pamoja na Viongozi Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi wakisimama wakati wimbo wa Taifa ukipigwa katika Sherehe za Kutunuku nishani iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Mjini Unguja.

Read More
26
Jun
2017

BARAZA LA EID EL FITRI


BARAZA LA EID EL FITRI

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein ametanabaisha na kusisitiza juu ya umakini mkubwa unaohitajika katika kuandaa, kusimamia na kufuatilia Mikataba ya Mafuta na Gesi ili kuepuka ubabaishaji kwani rasilimali hizo ni za Wazanzibari wote.

Read More
21
Jun
2017

Jeshi la Polisi Tanzania limepongezwa kwa kuendelea kusimamia vyema amani na utulivu hapa Zanzibar


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk. Ali Mohamed Shein amelipongeza Jeshi la Polisi Tanzania, kwa kuendelea kusimamia vyema amani na utulivu hapa Zanzibar.

Read More
19
Jun
2017

Uteuzi wa viongozi katika Taasisi mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar


Uteuzi wa viongozi katika Taasisi mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dkt. Ali Mohamed Shein amefanya uteuzi wa viongozi katika Taasisi mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kama ifuatavyo:-

Read More

Subscribe to Update