News and Events

06
Jul
2017

Dk.Shein ameondoka nchini kuelekea nchini Uingereza kwa safari maalum ya wiki mbili.


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk. Ali Mohamed Shein, ameondoka nchini leo kuelekea nchini Uingereza kwa safari maalum ya wiki mbili.

Read More
04
Jul
2017

Uongozi wa Wizara ya Biashara, Viwanda na Masoko, Bodi ya Wakurugenzi ya ZSTC wakutana na Dk.Shein


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk. Ali Mohamed Shein ameeleza kuwa mabadiliko yaliyofanywa na Serikali ndani ya Shirika la Biashara la Taifa la Zanzibar (ZSTC) ikiwemo kutungwa kwa Sheria yamelipelekea Shirika hilo kupata mafanikio makubwa ikiwa ni…

Read More
03
Jul
2017

Dk.Shein ameipongeza ZURA kwa kuanza kazi zake vyema tena kwa muda mfupi


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk. Ali Mohamed Shein ameeleza matumaini yake makubwa kwa kuundwa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA) na kuanza kazi zake vyema tena kwa muda mfupi na kueleza kuwa kazi za Mamlaka hiyo zitaenda…

Read More
01
Jul
2017

Dk.Shein amemtumia salamu za rambi rambi Rais wa Benki ya Maendelea ya Afrika Dk. Akinwumi Adesina


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk. Ali Mohamed Shein, amemtumia salamu za rambi rambi Rais wa Benki ya Maendelea ya Afrika (AfDB) Dk. Akinwumi Adesina,kufutia kifo cha Mkurugenzi Mkuu wa Benki hiyo Kanda ya Afrika Kusini, Dk. Tonia Kandiero,kilichotokea…

Read More
29
Jun
2017

Viongozi na Wananchi mbalimbali ambao waliitumikia Serikali ya SMZ wametunukiwa nishani


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk.Ali Mohamed Shein amewatunuku nishani viongozi na Wananchi mbalimbali ambao waliitumikia Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar katika Nyanja mbalimbali.

Read More

Subscribe to Update