News and Events

13
Jan
2013

Dk.Shein ahuzuria taarabu rasmin Bwawani


Dk.Shein ahuzuria  taarabu rasmin Bwawani

Kikundi cha Taifa cha Taarab cha Zanzibar kilitia fora kwa kutoa burdani ya aina yake ikiwa ni miongoni mwa shamrashamra za sherehe za kutimiza miaka 49.; ya Mapinduzi ya Zanzibar, kutokana na nyimbo zake zilizoisisimua hadhira. Taarabu hiyo rasmin ilifanyika katika ukumbi wa Salama…

Read More
12
Jan
2013

Matukio mbali mbali ya Sherehe ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ya miaka 49


Matukio mbali mbali yaliyotokea uwanja wa Amani katika Maazimisho ya Miaka 49 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar

Read More Attachment: attachment matukio_mbali_mbali_ya_sherehe
12
Jan
2013

Maazimisho ya Miaka 49 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar


Maazimisho ya Miaka 49 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar

Hotuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Mheshimiwa Dk. Ali Mohamed Shein,katika maadhimisho ya sherehe za miaka 49 ya Mapinduzi ya Zanzibar,tarehe 12 januari, 2013

Read More Attachment: attachment MAPINDUZI_01
11
Jan
2013

Dk.Shein atoa msamaha kwa wafungwa


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, ametoa msamaha kwa wafungwa (Wanafunzi wa Chuo cha Mafunzo) 16 ikiwa ni miongoni mwa sherehe za kutimiza miaka 49 ya Mapinduzi matukufu ya Januari 12, 1964.

Read More
10
Jan
2013

Malengo ya Mapinduzi ya Jan.12,1964 ni kuhakikisha elimu inatolewa kwa wenye uwezo na wasio na uwezo


Malengo ya Mapinduzi ya Jan.12,1964 ni kuhakikisha elimu inatolewa kwa wenye uwezo na wasio na uwezo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa miongoni mwa malengo ya Mapinduzi ya Januari 12, 1964 ni kuhakikisha kuwa elimu inayotolewa hapa Zanzibar ni kwa wale wenye uwezo na wasio na uwezo

Read More

Subscribe to Update