News and Events

01
Aug
2012

Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein aliungana na wananchi wa Mkoa wa Kusini Pemba katika futari maalum


Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein aliungana na wananchi wa Mkoa wa Kusini Pemba katika futari maalum

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein aliungana na wananchi wa Mkoa wa Kusini Pemba katika futari maalum aliyowatayarishia wananchi hao.Hafla hiyo ilifanyika huko katika viwanja vya Ikulu ndogo ya Chake na kuhudhuriwa na wananchi mbali mbali…

Read More
30
Jul
2012

Dk.Shein ameungana na wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Pemba katika futari


Dk.Shein ameungana na wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Pemba katika futari

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein aliungana na wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Pemba katika futari maalum aliyowaandalia na wananchi hao.Hafla hiyo ilifanyika huko katika viwanja vya Ikulu ndogo ya Wete na kuhudhuriwa na wananchi hao pamoja…

Read More
24
Jul
2012

Dk.Shein amemuwapisha Mhe:Rashid Seif Suleiman kuwa Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano.


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein amemuwapisha Mhe.Rashid Seif Suleiman kuwa Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano kufuatia kujiuzulu kwa aliyekuwa Waziri wa Wizara hiyo Mhe.Hamad Masoud Hamad.Wakati huo huo,Dk.Shein amemuapisha Sheikh Daud…

Read More
21
Jul
2012

Alhaj Dk.Shein amewasisitiza waumini wa dini ya kiislamu kutoitumia miskiti kwa uhasama na malumbano


Alhaj Dk.Shein amewasisitiza waumini wa dini ya kiislamu kutoitumia miskiti kwa uhasama na malumbano

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein, amewasisitiza Waumini wa dini ya Kislamu kutoitumia misikiti kuwa vivutio vya kusababisha uhasama, malumbano au kuwafarakanisha waumini na watu wengine.Alhaj Dk. Shein aliyasema hayo katika ufunguzi…

Read More
19
Jul
2012

Risala ya Mhe:Rais wa Zanzibar kwa ajili ya mwezi mtukufuwa Ramadhan mwaka 1433 Hijriya2012 Miladia.


Risala ya Mhe:Rais wa Zanzibar kwa ajili ya mwezi mtukufuwa Ramadhan mwaka 1433 Hijriya2012 Miladia.

RISALA YA RAMADHANI YA RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI, MHESHIMIWA DK. ALI MOHAMED SHEIN, KWA MWAKA 1433 HIJRIYA, 2012 MILADIA.
Ndugu Wananchi,
Assalam Aleykum Warahmatullah Wabarakatuh,
Alhamdu Lillahi Rabil Alamin. Shukurani zote anastahiki…

Read More Attachment: attachment Mwezi_Mtukufu

Subscribe to Update