News and Events

06
Sep
2012

Dk.Shein amekutana na kufanya mazungumzo na Naibu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Watu wa China


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amekutana na kufanya mazungumzo na Naibu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Watu wa China Mhe. Hui Liangyu huku China ikiahidi kuendelea kuiunga mkono Zanzibar katika kuimarisha sekta za maendeleo.Katika mazungumzo…

Read More
27
Aug
2012

Balozi wa Indonesia akutana na Rais wa Zanzibar Dk.Shein.


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, ameeleza kuwa Zanzibar ina mengi ya kujifunza kutoka Indonesia ikiwa ni pamoja na kuimarisha mashirikiano ya muda mrefu katika sekta ya biashara hasa katika zao la karafuu.Dk. Shein aliyasema hayo wakati…

Read More
26
Aug
2012

Dk.Ali Mohamed Shein pamoja na familia yake wamekamilisha zoezi la sensa ya watu na makaazi


Dk.Ali Mohamed Shein pamoja na familia yake wamekamilisha zoezi la sensa ya watu na makaazi

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein pamoja na familia yake wamekamilisha zoezi la sensa ya watu na makaazi linaloendelea nchi nzima hapo nyumbani kwake Migombani Mjini Unguja, na kuwataka wananchi kushiriki kikamilifu katika zoezi hilo.

Read More
19
Aug
2012

HOTUBA YA RAIS KATIKA BARAZA LA IDD EL FITRI MWEZI MOSI MFUNGUO MOSI,1433 HIJRIYA,AGOSTI, 2012


Mheshimiwa Maalim Seif Sharif Hamad,
Makamu wa Kwanza wa Rais;

Mheshimiwa Balozi Seif Ali Iddi,
Makamu wa Pili wa Rais;

Mheshimiwa Dk. Amani Abeid Karume,
Rais Mstaafu wa Zanzibar;

Mheshimiwa Sheikh Saleh Omar Kabhi,

Read More Attachment: attachment hutuba_19
19
Aug
2012

Alhaji Dk. Ali Mohamed Shein,amewataka wananchi wawajibike katika kufanikisha zoezi la sensa.


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein, amewataka wananchi kutowapa nafasi wasioitakia mema Zanzibar na badala yake wawajibike katika kufanikisha zoezi la sensa ambalo ni muhimu katika maendeleo nchini.Alhaj Dk. Shein aliyasema hayo leo…

Read More

Subscribe to Update