News and Events

08
Feb
2012

Toleo Maalum la Ikulu


*Zanzibar Imefanikiwa Kufufua Zao la Karafuu
-Neema ya Bei Yawashukia Wakulima wa Zao Hilo
-Wakulima Wamekubali kuuzia ZSTC, Waachana na Magendo

Read More Attachment: attachment Newsleter
08
Feb
2012

Miaka 48 imebainisha mafanikio na mipango ya SMZ ya awamu ya saba


“Tusipobadilika wenyewe Dunia itatubadilisha kwa lazima”
Suala la kubadilika limekuwa ndiyo agenda muhimu ndani ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar iliyo chini ya Muundo wa Umoja wa Kitaifa,inayoongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed…

Read More Attachment: attachment IKULU
07
Feb
2012

Toleo Maalum Maadhimisho ya Miaka 48 ya Mapinduzi ya Zanzibar


Miaka 48 ya Mapinduzi Zanzibar imebainisha mafanikio na mipango ya SMZ ya awamu ya saba
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein amesema pamoja na misukosuko iliyosababisha matatizo ya kiuchumi na kupanda kwa bei, pato la taifa la Zanzibar…

Read More Attachment: attachment Tolio_Malumu
09
Dec
2011

Rais Wa Zanzibar Dk Shein Ashiriki Mahafali Ya Saba Ya Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA)


Rais Wa Zanzibar Dk Shein Ashiriki Mahafali Ya Saba Ya Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA)

Rais Wa Zanzibar Dk Ali Mohammed Shein Ashiriki Mahafali Ya Saba Ya Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) Nakumtunuku Shahada ya Uzamivu ya Heshima ya Chuo Kikuu Cha Taifa SUZA Rais Mstaafu wa Zanzibar Dk Amani Abeid Karume

Read More

Subscribe to Update