News and Events - Events

18
Sep
2017

Kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar.


Kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Juma Abdalla Juma wakiimba wimbo wa Chama mara walipoingia katika Ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja katika kikao…

Read More
18
Sep
2017

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na MBLM Mhe.Gavu amefungua mafunzo ya mapishi na ukarimu


Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na MBLM Mhe.Gavu amefungua mafunzo ya  mapishi na ukarimu

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa.Issa Haji Ussi (Gavu) alipokuwa akifungua Mafunzo ya mapishi na ukarimu kwa Wafanyakazi mbali mbali kwa Wafanyakazi wa Taasisi za Serikali katika Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini…

Read More
06
Sep
2017

U T E U Z I


U T E U Z I

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dkt. Ali Mohamed Shein amefanya uteuzi wa viongozi mbali mbali katika Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kama ifuatavyo:

Read More
15
Aug
2017

DK.Shein afanya ziara Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.


DK.Shein afanya ziara Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amewaahidi wananchi wa vijiji vya Ukongoroni na Charawe kuwa ndani ya miezi 12 barabara yao itajengwa kwa kiwango cha lami na kuwataka wawe na subira kwani hatua hiyo ni kutekeleza ahadi yake kwa wananchi…

Read More
10
Aug
2017

DK.SHEIN AZUNGUMZA NA BODI YA MIKOPO YA ELIMU YA JUU.


DK.SHEIN AZUNGUMZA NA BODI YA MIKOPO YA ELIMU YA JUU.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,amezipongeza juhudi zilizofikiwa na Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu Zanzibar na kuitaka kutoa mikopo kwa wakati pamoja na kuangalia namna ya kuwakopesha wanafunzi fedha za kujikimu.

Read More

Subscribe to Update