News and Events - Events

05
Jan
2017

Dk.Shein amezindua rasmi kiwanda cha Azam Dairy P.Ltd katika kuadhimisha miaka 53 ya Mapinduzi

Dk.Shein amezindua rasmi kiwanda cha Azam Dairy P.Ltd katika kuadhimisha miaka 53 ya Mapinduzi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk.Ali Mohamed Shein na Meneja Uzalishaji AZAM DAIRY PRODUCTS LTD ADILSON FAGUNDES wakifuatana wakati alipotembelea sehemu za uzalishaji wa maziwa katika Kiwanda cha Maziwa cha (Azam Dairy Products Ltd.) huko Fumba Kororo…

Read More
09
Dec
2016

Makomandoo wakipita katika Jukwaa kubwa la Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam

Makomandoo wakipita katika Jukwaa kubwa la Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam

Kikosi cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ Makomandoo kikipita katika Jukwaa kubwa la Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam,kwa
mwendo wa kurukaruka katika sherehe za miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara zilizofanyika kiwanjani hapo mgeni rasmi akiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano…

Read More
03
Dec
2016

Kongamano la Wajasiriamali,katika viwanja vya ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la Zamani

Kongamano la Wajasiriamali,katika viwanja vya ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la Zamani

Baadhi ya mabanda ya maonesho ya Wajasiriamali katika viwanja vya ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la Zamani Mnazi Mmoja Mjini Unguja,ambapo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk.Ali Mohamed Shein alitembelea kabla ya kuzindua Kongamano la Wajasiriamali, Read More

28
Nov
2016

Hafla ya chakula cha jioni kilichoandaliwa kwa Rais wa Zambia,katika ukumbi wa Ikulu Dar es Salaam.

Hafla ya chakula cha jioni kilichoandaliwa kwa Rais wa Zambia,katika ukumbi wa Ikulu Dar es Salaam.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk.Ali Mohamed Shein Rais wa Zambia Edga Lungu,Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli na Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan wakisimama wakati wimbo wa Taifa…

Read More
15
Nov
2016

Muswada wa sheria ya Utafutaji na Uchimbaji wa Mafuta na Gesi asilia ya mwaka 2016,umesainiwa

Muswada wa sheria ya Utafutaji na Uchimbaji wa Mafuta na Gesi asilia ya mwaka 2016,umesainiwa

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk.Ali Mohamed Shein akitia saini muswada wa sheria ya Utafutaji na Uchimbaji wa Mafuta na Gesi asilia ya mwaka 2016, katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,ambapo Viongozi mbali mbali wa Serikali…

Read More

Subscribe to Update