News and Events - Events

17
May
2012

Ujenzi wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar Tunguu umekamilika kwa asilimia 90 (90%)


WIZARA ya Elimu na Mafunzo ya Amali imeeleza kuwa ujenzi wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar Tunguu umekamilika kwa asilimia 90 ambapo Mkandarasi ameahidi kukamilisha kazi yote na kukabidhi majengo katika mwezi wa Julai mwaka huu.Uongozi wa Wizara ya Elimu na Mfunzo ya Amali ulieleza…

Read More
09
May
2012

Dk.Shein ametangaza huduma za kujifungua katika hospitali za umma Unguja na Pemba zifanyike bure.


Dk.Shein ametangaza huduma za kujifungua katika hospitali za umma Unguja na Pemba zifanyike bure.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, ametangaza kuwa huduma za uzazi kwa akina mama wajawazito wanaokwenda kujifungua katika hospitali za umma Unguja na Pemba zitafanyika bure.Dk. Shein aliyasema hayo katika ukumbi wa Chuo Kikuu cha Tunguu,…

Read More Attachment: attachment Majumuisho_kusini
18
Apr
2012

Dk Shein awataka Wazanzibar kusubiri Tume ya uundwaji wa Katiba mpya ianzekazi ndipo watoe maoni yao


WAZANZIBARI wametakiwa kusubiri Tume ya Kuratibu na Kukusanya Maoni ya Wananchi kuhusu Mapendekezo ya Uundwaji wa Katiba Mpya ianze kazi ndipo watoe maoni yao kwani hata wakitoa hivi sasa hakuna wa kuwasikiliza kutokana na kutofika wakati wake uliopangwa.
Rais wa Zanzibar na…

Read More
17
Apr
2012

SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar imejenga Tuta la kuzuiya Maji ya Chumvi yasiingie mashambani


SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar imejenga Tuta la kuzuiya Maji ya Chumvi yasiingie mashambani

SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar imechukuwa juhudi ya kuwajengea Tuta la kuzuiya Maji ya Chumvi yasiingie katika Mashamba ya wakulima wa bonde la Ukele, Micheweni Pemba baada ya kuona juhudi za Kilimo zinazofanywa na Wananchi hao kuhusiana na Kilimo haziwafaidishi baada ya mashamba…

Read More Attachment: attachment ziara_pba
15
Apr
2012

SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar itaendelea kulinda uhuru wa dini zote


SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar  itaendelea kulinda uhuru wa dini zote

SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar itaendelea kulinda uhuru wa dini zote lakini haitavumilia vitendo vyovyote vya uvunjaji wa sheria vinavyofanywa na baadhi ya watu kwa jina la dini huku akisisitiza uadilifu kwa viongozi wa dini

Read More Attachment: attachment Dini_zote

Subscribe to Update