News and Events - Events

09
Aug
2017

DK.SHEIN AZUNGUMZA NA BODI YA WAKURUGENZI YA ZBC,UONGOZI WA WIZARA YA HABARI,UTALII NA MICHEZO

DK.SHEIN AZUNGUMZA NA BODI YA WAKURUGENZI YA ZBC,UONGOZI WA WIZARA YA HABARI,UTALII NA MICHEZO

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, amesisitiza haja kwa Shirika la Utangazaji Zanzibar (ZBC) kujiendesha kibiashara ili lizidi kuimarika sambamba na kutekeleza azma ya kutoa elimu kwa umma.

Read More
03
Aug
2017

DK.SHEIN AKUTANA NA BODI YA WAKURUGENZI KAMISHENI YA UTALII,UONGOZI WA WIZARA YA FEDHA NA MIAPANGO

DK.SHEIN AKUTANA NA BODI YA WAKURUGENZI KAMISHENI YA UTALII,UONGOZI WA WIZARA YA FEDHA NA MIAPANGO

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, ameitaka Kamisheni ya Utalii kuongeza kasi katika kuimarisha dhana ya utalii kwa wote kwani tayari dhana hiyo imeanza vizuri katika kufikia lengo lililokusudiwa.

Read More
01
Aug
2017

DK.Shein azungumza na ujumbe wa mamlaka ya viwanja vya ndege,Bodi ya Wakurugenzi,Shirika la nyumba.

DK.Shein azungumza na ujumbe wa mamlaka ya viwanja vya ndege,Bodi ya Wakurugenzi,Shirika la nyumba.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, amesema kuwa kuwepo kwa mabadiliko makubwa ya kimaendeleo baada ya kuundwa kwa Mamlaka ya Viwanja vya ndege vya Zanzibar kumeweza kuongeza mapato na kuahidi kuimarika zaidi hali hiyo ndani ya kipindi chake…

Read More
31
Jul
2017

Dk.Shein azungumza na Bodi ya Wizara ya ujenzi, awasiliano na usafirishaji.

Dk.Shein azungumza na Bodi ya Wizara ya ujenzi, awasiliano na usafirishaji.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesisitiza haja ya kuzifahamu vyena na kuzifanyia kazi sheria zilizounda Bodi za Wakurugenzi za Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji ili Bodi hizo ziweze kufanya kazi kwa ufanisi sambamba na kuimarisha…

Read More
26
Jun
2017

BARAZA LA EID EL FITRI

BARAZA LA EID EL FITRI

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein ametanabaisha na kusisitiza juu ya umakini mkubwa unaohitajika katika kuandaa, kusimamia na kufuatilia Mikataba ya Mafuta na Gesi ili kuepuka ubabaishaji kwani rasilimali hizo ni za Wazanzibari wote.

Read More

Subscribe to Update