News and Events - Events

18
Apr
2012

Dk Shein awataka Wazanzibar kusubiri Tume ya uundwaji wa Katiba mpya ianzekazi ndipo watoe maoni yao


WAZANZIBARI wametakiwa kusubiri Tume ya Kuratibu na Kukusanya Maoni ya Wananchi kuhusu Mapendekezo ya Uundwaji wa Katiba Mpya ianze kazi ndipo watoe maoni yao kwani hata wakitoa hivi sasa hakuna wa kuwasikiliza kutokana na kutofika wakati wake uliopangwa.
Rais wa Zanzibar na…

Read More
17
Apr
2012

SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar imejenga Tuta la kuzuiya Maji ya Chumvi yasiingie mashambani


SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar imejenga Tuta la kuzuiya Maji ya Chumvi yasiingie mashambani

SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar imechukuwa juhudi ya kuwajengea Tuta la kuzuiya Maji ya Chumvi yasiingie katika Mashamba ya wakulima wa bonde la Ukele, Micheweni Pemba baada ya kuona juhudi za Kilimo zinazofanywa na Wananchi hao kuhusiana na Kilimo haziwafaidishi baada ya mashamba…

Read More Attachment: attachment ziara_pba
15
Apr
2012

SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar itaendelea kulinda uhuru wa dini zote


SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar  itaendelea kulinda uhuru wa dini zote

SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar itaendelea kulinda uhuru wa dini zote lakini haitavumilia vitendo vyovyote vya uvunjaji wa sheria vinavyofanywa na baadhi ya watu kwa jina la dini huku akisisitiza uadilifu kwa viongozi wa dini

Read More Attachment: attachment Dini_zote
04
Apr
2012

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akimuapisha


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akimuapisha

Mhe.Ali Juma Shahuna kuwa Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali ambapo kabda ya kiapo hicho alikuwa Waziri wa Ardhi, Makaazi, Maji na Nishati katika ni Katibu Mkuu Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar

Read More
08
Nov
2011

Dk Shein Akutana na Prince Charles Ikulu Zanzibar leo


Dk Shein Akutana na Prince Charles Ikulu Zanzibar leo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akizungumza na mgeni wake Mtoto wa Malkia wa Uingereza Prince Charles,mara baada ya kuwasili Ikulu Mjini Zanzibar,akifuatana na Mkewe Camilla, Duchess of Cornwall.

Read More

Subscribe to Update