News and Events - Events

30
Oct
2012

Uholanzi itazidisha uhusiano na ushirikiano kati yake na Serikali ya Zanzibar katika sekta ya utalii


Uholanzi itazidisha uhusiano na ushirikiano kati yake na Serikali ya Zanzibar katika sekta ya utalii

UHOLANZI imeeleza azma ya kuzidisha uhusiano na ushirikiano kati yake na Zanzibar katika kuimarisha sekta ya utalii na kusisitiza kuwa tayari mashirika ya ndege kutoka nchini humo likiwemo Shirika la ndege la KLM yameonesha nia ya kufanya safari zake moja kwa moja kutoka Uholanzi…

Read More
10
Oct
2012

Dk.Shein amezindua ulazaji wa waya wa pili wa umeme kutoka Fumba Zanzibar hadi Ras Kiromoni DSM


Dk.Shein amezindua ulazaji  wa waya  wa pili wa umeme kutoka Fumba Zanzibar hadi Ras Kiromoni DSM

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein amezindua ulazaji wa waya wa pili wa umeme kutoka Ras Fumba Zanzibar hadi Ras Kiromoni Dar-es-Salaam na kusema kuwa sasa mwelekeo wa kuwa na umeme wa uhakika hapa Unguja umetia sura

Read More
10
Oct
2012

Watanzania hasa Wazanzibar wametakiwa kushiriki katika kujiandikisha ilikupata kitambulisho chaTaifa


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ametoa wito kwa Watanzania hasa Wazanzibari kushiriki kikamilifu katika zoezi la kujiandikisha kwa kupata kitambuilisho cha Taifa na kusisitiza kuwa zoezi hilo lisihushihswe na mambo ya siasa.

Read More
22
May
2012

Zanzibar imeongeza kasi ya ukusanyaji wa mapato na kufikia kiwango cha asilimia 20 ya pato la Taifa


Zanzibar imeongeza kasi ya ukusanyaji wa mapato na kufikia kiwango cha asilimia 20 ya pato la Taifa

OFISI ya Rais Fedha, Uchumi na Mipango ya Maendeleo imeeleza vipaumbele ilivyojiwekea kwa mwaka ujao wa fedha ikiwa ni pamoja na kuongeza kasi ya ukusanyaji wa mapato na kufikia kiwango cha asilimia 20 ya pato la Taifa, kwa kudhibiti mianya ya uvujaji wa mapato na kuendeleza elimu…

Read More
18
May
2012

Dk.Shein ataka juhudi za haraka zichukuliwe kwa Shirika la ZBC (Television) kisiwani Pemba


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein ameiagiza Wizara ya Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo kutoa taarifa kwa wananchi wa kisiwa cha Pemba juu ya hitlafu zilizotokea na kusababisha kutoyaona vyema matangazo ya Shirika la Utangazaji (ZBC)…

Read More

Subscribe to Update