News and Events - highlights

23
Aug
2017

Huduma za Afya kuendelea kutolewa bila ya Ubaguzi


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk.Ali Mohamed Shein, amesema kuwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar itaendelea kutoa huduma zote muhimu kwa wananchi wake zikiwemo huduma za afya bila ya ubaguzi.

Read More
21
Aug
2017

Wakulima wa zao la karafuu wametakiwa kuliimarisha ili liwaneemshe na kuwa na maisha bora


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk. Ali Mohamed Shein, amesema kuwa lengo la Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar la kuliimarisha zao la karafuu ni kuwaneemesha wakulima wa zao hilo na kuwafanya wawe na maisha bora zaidi kuliko ilivyo sasa.
Read More

21
Aug
2017

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein

alipokuwa akifungua pazia kufungua jengo la madarasa 3 mapya kati aSkuli ya Kijitoupele akiwa katika katika ziara yake ya kutembelea maendeleo ya Miradi ya maendeleo Wilaya ya Magharibi"B" katika Mkoa wa Mjini Magharibi

Read More
21
Aug
2017

Serikali anayoiongoza Dk.Shein imekuwa ikitekeleza ahadi inazoziahidi


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk. Ali Mohamed Shein, ameeleza kuwa Serikali anayoiongoza imekuwa ikitekeleza ahadi inazoziahidi, hivyo ujenzi wa barabara ya Magogoni kwa Mabata hadi Kinuni ni ahadi ambayo hivi sasa inatekelezwa kwa vitendo.

Read More
21
Aug
2017

Rais wa Rwanda Paul Kagame amepongezwa kwa ushindi mkubwa alioupata


Rais wa Rwanda Paul Kagame amepongezwa kwa ushindi  mkubwa alioupata

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk. Ali Mohamed Shein amemtumia salamu za pongezi Rais wa Rwanda Paul Kagame kwa ushindi mkubwa alioupata kufuatia uchaguzi Mkuu wa nchi hiyo uliofanyika Agosti 4, mwaka huu.

Katika salamu hizo za pongezi…

Read More

Subscribe to Update