News and Events - highlights

29
Aug
2017

Kamisheni ya Kiswahili ya Jumuiya ya Afrika Mashariki inaugwa mkono na Rais Dk.Ali Mohamed Shein


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, viongozi pamoja na wananchi wake wataendelea kuiunga mkono Kamisheni ya Kiswahili ya Jumuiya ya Afrika Mashariki kwa lengo la kuiimarisha lugha ya…

Read More
28
Aug
2017

Rais Ameenah alifika Ikulu mjini Zanzibar na kufanya mazungumzo na Rais Dk. Shein.


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk. Ali Mohamed Shein amefanya mazungumzo na Rais wa Mauritius Dk. Ameenah Gurib Fakim ambapo viongozi hao wameahidi kushirikiana katika sekta mbali mbali za maendeleo kutokana na nchi zao kufanana kimazingira.

Read More
27
Aug
2017

Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) umepongezwa na Mheshimiwa Dk.Shein


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk. Ali Mohamed Shein, amepongeza juhudi zinazochukuliwa na Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), katika kuuimarisha umoja huo na kusisitiza kuwa kuna kila sababu ya kuendelea kuunga mkono kwa nguvu zote ili uzidi kupata…

Read More
26
Aug
2017

Hatua kali zitachukuliwa kwa wote wanyaoyaficha Mashamba yao.


UONGOZI wa Mkoa wa Kusini Pemba kwa kushirikiana na Wizara ya Kilimo, Maliasili, Mifugo na kuagizwa kwa wale wote ambao bado wanayaficha mashamba hayo ni bora wayarejeshe wenyewe vyenginevyo wakibainika wawachukulie hatua kali za kisheria.

Read More
25
Aug
2017

Soko jipya lisijegeuzwa sehemu ya kufanyia siasa na badala yake lifanye kazi iliokusudiwa


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Mheshimiwa Dk. Ali Mohamed Shein, amesema kuwa lengo la Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kujenga soko jipya la Tibirinzi ni kwa ajili ya wafanyabiashara kuuza bidhaa zao ili wananchi wapate huduma wanazozihitajia bila ya kuingiza…

Read More

Subscribe to Update