News and Events - highlights

06
Sep
2017

U T E U Z I


U T E U Z I

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dkt. Ali Mohamed Shein amefanya uteuzi wa viongozi mbali mbali katika Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kama ifuatavyo:

Read More
04
Sep
2017

Balozi wa China Dk. Lu Youging, amefika Ikulu Mjini Zanzibar kwa ajili ya kumuaga Dk.Shein


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa hatua za Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China za kuendelea kuiunga mkono Zanzibar na kukuza mashirikiano na uhusiano wa kihistoria ni utekelezaji wa misingi madhubuti iliyowekwa na…

Read More
02
Sep
2017

Maadili mema ya Kiislamu.kufundishwa watoto hapa nchini


VIONGOZI wa dini ya Kiislamu hapa nchini wametakiwa kuendelea kutoa mafunzo kwa jamii hasa kuwafundisha watoto maadili mema ya Kiislamu.

Read More
01
Sep
2017

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj DK.Ali Mohamed Shein,


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj DK.Ali Mohamed Shein,

alipokuwa akitoa hutuba yake kwa Viongozi mbali mbali na Wananchi katika sherehe za Baraza la Eid el Hajj lililofanyika leo katika viwanja vya Nyumba za Mji Mpya wa Kisasa Fumba Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magharibi

Read More
01
Sep
2017

Kupambana na vitendo vya ukatili na udhalilishaji dhidi ya wanawake na watoto.


OFISI ya Mufti na viongozi wa dini hapa nchini wametakiwa kushirikiana na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar katika kufanikisha utekelezaji wa Mpango Kazi wa Zanzibar wa miaka mitano wa kupambana na vitendo vya ukatili na udhalilishaji dhidi ya wanawake na watoto.

Read More

Subscribe to Update