News and Events - highlights

27
Feb
2013

Dk. Ali Mohamed Shein amesifu azma ya Jumuiya ya Al-Youseif ya kuja kuekeza hapa Zanzibar.


Dk. Ali Mohamed Shein amesifu azma ya Jumuiya ya Al-Youseif ya kuja kuekeza  hapa Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesifu azma ya Jumuiya ya Al-Youseif ya kuja kuekeza hapa Zanzibar.

Dk. Shein aliyasema hayo wakati alipokuwa na mazungumzo na Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo Sheikh Al-Yousef huko Ikulu mjini Zanzibar…

Read More
26
Feb
2013

Taarifa kwa Vyombo vya Habari


Jitihada za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar chini ya mfumo wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa katika kipindi chake cha miaka miwili ya mwanzo zimejenga mwelekeo na mwenendo mzuri katika kuimarisha uchumi na ustawi wa wananchi katika visiwa vya Unguja na Pemba.

Read More
25
Feb
2013

Zanzibar inathamini sana uhusiano naushirikiano wa kihistoria kati yake na Umoja wa Falme za Kiarabu


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amekutana na Balozi wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) nchini Tanzania Mhe. Mallallah Mubarak Alameri na kueleza kuwa Zanzibar inathamini sana uhusiano na ushirikiano wa kihistoria kati yake na Umoja huo Katika…

Read More
22
Feb
2013

Dk.Shein asisitiza dhamira ya dhati ya Serikali ya Mapinduzi ya kuimarisha sekta ya utalii Zanzibar.


Dk.Shein asisitiza dhamira ya dhati ya Serikali ya Mapinduzi ya kuimarisha sekta ya utalii Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesisitiza dhamira ya dhati ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kuendeleza na kuimarisha sekta ya utalii Zanzibar kwa kushirikiana na washirika wa sekta hiyo ikiwemo sekta binafsi

Read More
22
Feb
2013

Dk.Shein ameongoza maelfu ya wananchi katika mazishi ya Padri Evaristitus Mushin huko Kitope


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameongoza maelfu ya wananchi katika mazishi ya Padri Evarist Mushi huko Kitope, Wilaya ya Kaskazini B, Mkoa wa Kaskazini Unguja.

Read More

Subscribe to Update