News and Events - highlights

06
Sep
2012

Dk.Shein amekutana na kufanya mazungumzo na Naibu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Watu wa China


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amekutana na kufanya mazungumzo na Naibu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Watu wa China Mhe. Hui Liangyu huku China ikiahidi kuendelea kuiunga mkono Zanzibar katika kuimarisha sekta za maendeleo.Katika mazungumzo…

Read More
27
Aug
2012

Balozi wa Indonesia akutana na Rais wa Zanzibar Dk.Shein.


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, ameeleza kuwa Zanzibar ina mengi ya kujifunza kutoka Indonesia ikiwa ni pamoja na kuimarisha mashirikiano ya muda mrefu katika sekta ya biashara hasa katika zao la karafuu.Dk. Shein aliyasema hayo wakati…

Read More
26
Aug
2012

Dk.Ali Mohamed Shein pamoja na familia yake wamekamilisha zoezi la sensa ya watu na makaazi


Dk.Ali Mohamed Shein pamoja na familia yake wamekamilisha zoezi la sensa ya watu na makaazi

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein pamoja na familia yake wamekamilisha zoezi la sensa ya watu na makaazi linaloendelea nchi nzima hapo nyumbani kwake Migombani Mjini Unguja, na kuwataka wananchi kushiriki kikamilifu katika zoezi hilo.

Read More
13
Aug
2012

Jamhuri ya Korea imeahidi kuendelea kuiunga mkono Zanzibar katika kuimarisha sekta za maendeleo


Jamhuri ya Korea imeahidi kuendelea kuiunga mkono Zanzibar katika kuimarisha sekta za maendeleo ikiwemo kilimo cha umwagiliaji maji.
Balozi wa Korea nchini Tanzania, Mhe. Kim Young Hoon, aliyasema hayo wakati alipofika Ikulu mjini Zanzibar kwa ajili ya kuaga baada ya kumaliza…

Read More
01
Aug
2012

Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein aliungana na wananchi wa Mkoa wa Kusini Pemba katika futari maalum


Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein aliungana na wananchi wa Mkoa wa Kusini Pemba katika futari maalum

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein aliungana na wananchi wa Mkoa wa Kusini Pemba katika futari maalum aliyowatayarishia wananchi hao.Hafla hiyo ilifanyika huko katika viwanja vya Ikulu ndogo ya Chake na kuhudhuriwa na wananchi mbali mbali…

Read More

Subscribe to Update