News and Events - highlights

07
Dec
2012

Wizara ya Habari,Utamaduni,Utalii na Michezo imejipanga vizuri kuingia kwenye mfumo wa Dijital


Wizara ya Habari,Utamaduni,Utalii na Michezo imejipanga vizuri kuingia kwenye mfumo wa Dijital

WIZARA ya Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo imeeleza kuwa itahakikisha inaingia katika mfumo wa utangazaji wa Dijitali kwani maendeleo katika ujenzi wa miundombinu yake yanatia moyo na vifaa vyote vinatarajiwa kufika na kufungwa kabla ya Disemba 31 mwaka huu.Maelezo hayo yametolewa…

Read More
06
Dec
2012

“SUZA” kuhamia katika kampasi yake ya Tunguu kumesaidia kujipanga na kuweka mazingira mazuri ya kazi


“SUZA” kuhamia katika kampasi yake ya Tunguu kumesaidia kujipanga na kuweka mazingira mazuri ya kazi

WIZARA ya Elimu na Mafunzo ya Amali imeeleza kuwa kuhamia kwa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) katika kampasi ya Tunguu kumesaidia sana katika kukiwezesha chuo hicho kujipanua na kuwa na mazingira mazuri ya kufanya kazi. Maelezo hayo yametolewa na uongozi wa Wizara hiyo, wakati…

Read More Attachment: attachment elimu
05
Dec
2012

Dk.Shein akutana na Uongozi wa Wizara ya Biashara,Viwanda na Masoko


WIZARA ya Biashara, Viwanda na Masoko imeeleza kuwa kulingana na taarifa za mwenendo wa hali ya chakula ambazo hukusanywa na Wizara hiyo kila mwezi hali ya chakula imeendelea kuwa nzuri hapa nchini huku ikiendelea kuwa na akiba ya kutosha ya chakula.Maelezo hayo yametolewa na uongozi…

Read More
03
Dec
2012

Tatizo la upungufu wa dawa katika hospitali za Serikali litapatiwa ufumbuzi muda mfupi ujao


Tatizo la upungufu wa dawa katika hospitali za Serikali litapatiwa ufumbuzi muda mfupi ujao

WIZARA ya Afya imeeleza azma yake ya kuhakikisha tatizo la upungufu wa dawa katika hospitali zote za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar linapatiwa ufumbuzi wa haraka kwa muda mfupi ujao Maelezo hayo yametolewa na uongozi wa Wizara ya Afya katika mkutano kati ya Uongozi huo na Rais wa…

Read More Attachment: attachment afya
03
Dec
2012

Dk.Shein amemuapisha Jaji wa Mahkama Kuu Mhe. Adulhakim Ameir Issa kuwa Kaimu Jaji Mkuu wa Zanzibar


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein amewaapisha Jaji wa Mahkama Kuu Mhe. Adulhakim Ameir Issa kuwa Kaimu Jaji Mkuu wa Zanzibar

Read More

Subscribe to Update