News and Events - highlights

17
Oct
2012

Rais wa Zanzibar na MBLM Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,amewaapisha viongozi na watendaji wa SMZ


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein leo amewaapisha viongozi na watendaji katika Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kufuatia uteuzi alioufanya hivi karibuni.

Read More
10
Oct
2012

Dk.Shein amezindua ulazaji wa waya wa pili wa umeme kutoka Fumba Zanzibar hadi Ras Kiromoni DSM


Dk.Shein amezindua ulazaji  wa waya  wa pili wa umeme kutoka Fumba Zanzibar hadi Ras Kiromoni DSM

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein amezindua ulazaji wa waya wa pili wa umeme kutoka Ras Fumba Zanzibar hadi Ras Kiromoni Dar-es-Salaam na kusema kuwa sasa mwelekeo wa kuwa na umeme wa uhakika hapa Unguja umetia sura

Read More
10
Oct
2012

Watanzania hasa Wazanzibar wametakiwa kushiriki katika kujiandikisha ilikupata kitambulisho chaTaifa


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ametoa wito kwa Watanzania hasa Wazanzibari kushiriki kikamilifu katika zoezi la kujiandikisha kwa kupata kitambuilisho cha Taifa na kusisitiza kuwa zoezi hilo lisihushihswe na mambo ya siasa.

Read More
09
Oct
2012

Rwanda imevutiwa na mafanikio yaliofikiwa na Serikali ya Zanzibar katika sekta ya utalii.


RWANDA imevutiwa na mafanikio yaliofikiwa na Zanzibar katika sekta ya utalii na kueleza kuwa iko tayari kupanua wigo katika sekta hiyo ikiwa ni pamoja na kukuza ushirikiano kwenye sekta nyengine ambazo zitaimarisha utalii.Hayo yalisemwa na Balozi wa Rwanda nchini Tanzania Dk. Ben…

Read More
05
Oct
2012

Waya mpya wa umeme utakaolazwa baharini kutoka Ras Fumba hadi Ras Kiromoni umewasili Zanzibar


Waya mpya wa umeme utakaolazwa baharini kutoka Ras Fumba hadi Ras Kiromoni umewasili Zanzibar

HATIMAE waya mpya wa umeme utakaolazwa baharini kutoka Ras Fumba Zanzibar hadi Ras Kiromoni Dar-es-Salaam umewasili Zanzibar na kupokewa rasmi pamoja na kukaguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, huko katika bandari ya Malindi mjini…

Read More

Subscribe to Update