News and Events - highlights

04
Apr
2012

Dk.Shein amewaapisha Mawaziri pamoja na Mshauri wa Rais Pemba


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein amewaapisha Mawaziri kufuatia mabadiliko aliyoyafanya kwa kuwabadilisha Wizara baadhi ya Mawaziri hivi karibuni ambapo pia, amemuapisha Mshauri wa Rais Pemba.

Read More Attachment: attachment kuapishwa_mawaziri
08
Feb
2012

Toleo Maalum la Ikulu


*Zanzibar Imefanikiwa Kufufua Zao la Karafuu
-Neema ya Bei Yawashukia Wakulima wa Zao Hilo
-Wakulima Wamekubali kuuzia ZSTC, Waachana na Magendo

Read More Attachment: attachment Newsleter
09
Dec
2011

Rais Wa Zanzibar Dk Shein Ashiriki Mahafali Ya Saba Ya Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA)


Rais Wa Zanzibar Dk Shein Ashiriki Mahafali Ya Saba Ya Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA)

Rais Wa Zanzibar Dk Ali Mohammed Shein Ashiriki Mahafali Ya Saba Ya Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) Nakumtunuku Shahada ya Uzamivu ya Heshima ya Chuo Kikuu Cha Taifa SUZA Rais Mstaafu wa Zanzibar Dk Amani Abeid Karume

Read More

Subscribe to Update