News and Events - Speeches

12
Jan
2013

Maazimisho ya Miaka 49 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar


Maazimisho ya Miaka 49 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar

Hotuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Mheshimiwa Dk. Ali Mohamed Shein,katika maadhimisho ya sherehe za miaka 49 ya Mapinduzi ya Zanzibar,tarehe 12 januari, 2013

Read More Attachment: attachment MAPINDUZI_01
26
Oct
2012

Hotuba ya Rais wa Zanzibar na MBLM,Mhe:Dkt.Ali Mohamed Shein,kwenye Baraza la Idd el Hajj 26 Oct2012


Bismillah Rahman Rahim

Shukrani zote anastahiki Mwenyezi Mungu Mtukufu, Subhanahu Wataala, Aliyetupa uhai na uzima tulionao tukaweza kuitikia wito wake, alioutoa tangu zama za Nabii Ibrahim (AS). Katika Kur-ani imeelezwa kwamba Nabii Ibrahim ameamriwa kuwatangazia watu…

Read More Attachment: attachment Baraza_la_iddi_2012
19
Aug
2012

HOTUBA YA RAIS KATIKA BARAZA LA IDD EL FITRI MWEZI MOSI MFUNGUO MOSI,1433 HIJRIYA,AGOSTI, 2012


Mheshimiwa Maalim Seif Sharif Hamad,
Makamu wa Kwanza wa Rais;

Mheshimiwa Balozi Seif Ali Iddi,
Makamu wa Pili wa Rais;

Mheshimiwa Dk. Amani Abeid Karume,
Rais Mstaafu wa Zanzibar;

Mheshimiwa Sheikh Saleh Omar Kabhi,

Read More Attachment: attachment hutuba_19
19
Aug
2012

Alhaji Dk. Ali Mohamed Shein,amewataka wananchi wawajibike katika kufanikisha zoezi la sensa.


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein, amewataka wananchi kutowapa nafasi wasioitakia mema Zanzibar na badala yake wawajibike katika kufanikisha zoezi la sensa ambalo ni muhimu katika maendeleo nchini.Alhaj Dk. Shein aliyasema hayo leo…

Read More
19
Jul
2012

Risala ya Mhe:Rais wa Zanzibar kwa ajili ya mwezi mtukufuwa Ramadhan mwaka 1433 Hijriya2012 Miladia.


Risala ya Mhe:Rais wa Zanzibar kwa ajili ya mwezi mtukufuwa Ramadhan mwaka 1433 Hijriya2012 Miladia.

RISALA YA RAMADHANI YA RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI, MHESHIMIWA DK. ALI MOHAMED SHEIN, KWA MWAKA 1433 HIJRIYA, 2012 MILADIA.
Ndugu Wananchi,
Assalam Aleykum Warahmatullah Wabarakatuh,
Alhamdu Lillahi Rabil Alamin. Shukurani zote anastahiki…

Read More Attachment: attachment Mwezi_Mtukufu

Subscribe to Update