News and Events - Speeches

18
Jul
2012

AJALI YA MELI YA MV SKAGIT


TAARIFA YA RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI, MHESHIMIWA DK. ALI MOHAMED SHEIN,KUHUSU AJALI YA MELI YA MV SKAGIT YA KAMPUNI YA SEAGUL JULAI 18, 2012

Read More
29
Jun
2012

Hotuba ya Bajeti ya makadirio ya mapato na matumizi ya fedha 2012/2013 ORMBLM Zanzibar


Hotuba ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dkt. Mwinyihaji Makame kuhusu makadirio ya mapato na matumizi ya fedha ya Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi kwa mwaka wa fedha 2012/2013 katika Baraza la Wawakilishi, Zanzibar Read More

31
May
2012

Taarifa kuhusu hali ya nchi kwa Waandishi wa HabariI,Wahariri na WananchiI,


Ndugu Waandishi wa Habari, Wahariri na Wananchi,
Assalam Aleykum
Namshukuru Mwenyezi Mungu, Mola wa walimwengu wote, kwa kutupa afya njema tukaweza kuzungumzia mambo yenye mustakbal mwema wa hali ya nchi yetu kwa jumla.
Napenda kutanguliza shukurani zangu kwa wananchi…

Read More Attachment: attachment taarifa

Subscribe to Update