News and Events - Speeches

15
Aug
2013

Risala ya Mhe:Rais wa Zanzibar na MBLM,kwa ajili ya uzinduzi wa sherehe za miaka 50 ya Mapinduzi.


Ndugu Wananchi,

Naanza kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa mara nyengine kwa kutujaalia kufunga na kukamilisha Mwezi Mtukufu wa Ramadhani na tukaweza kusherehekea Sikukuu ya Idd el Fitri kwa furaha, amani na utulivu. Namuomba Mwenyezi Mungu (SW) azikubali ibada zetu na…

Read More Attachment: attachment miaka_50
28
Jun
2013

Hutuba ya Bajeti ya Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar 2013 - 2014


Hotuba ya Waziri wa nchi Ofisi ya rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dkt. Mwinyihaji Makame kuhusu makadirio ya mapato na matumizi ya fedha ya Ofisi ya rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi kwa mwaka wa fedha 2013/2014 katika baraza la Wawakilishi, Zanzibar

Read More Attachment: attachment HOTUBA_YA_BAJETI_YA_2013_-_14_REVISED_20_JUNI_FINAL
28
Jun
2013

Hutuba ya Bajeti ya Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar 2013 - 2014


Hotuba ya Waziri wa nchi Ofisi ya rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dkt. Mwinyihaji Makame kuhusu makadirio ya mapato na matumizi ya fedha ya ofisi ya rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi kwa mwaka wa fedha 2013/2014 katika Baraza la Wawakilishi, Zanzibar

Read More Attachment: attachment MATRIX_YA_HOJA_ZA_BARAZA_LA_WAWAKILISHI_18_JUNI
10
Apr
2013

Hotuba ya Rais wa Zanzibar katika uzinduzi wa mradi wa umeme.


Hotuba ya rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Mheshimiwa DK. Ali Mohamed Shein,katika uzinduzi wa mradi wa uwekaji wa laini ya pili ya umeme kutoka Ubungo,Dar es Salaam hadi Mtoni Unguja,katika Uwanja wa Amaan Zanzibar.

Read More Attachment: attachment baharesa_2
12
Mar
2013

Majumuisho ya Ziara ya Rais wa Zanzibar na MBLM Mhe:Dk Ali Moh’d Shein Mkoa wa Kusini Unguja


Majumuisho ya ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Mheshimiwa Dk.Ali Mohamed shein,Mkoa wa Kusini Unguja katika ukumbi wa Zanzibar University,Tunguu tarehe 11 March 2013

Read More Attachment: attachment MAJUMUISHO_YA_ZIARA_YA_RAIS_WA_ZANZIBAR

Subscribe to Update