News and Events

Balozi wa Namibia katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amekutana na Dk.Shein Ikulu Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa DK.Ali Mohamed Shein akizungumza na mgeni wake Balozi wa Namibia katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,Theresia Samaria Balozi wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar

Balozi wa Namibia katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amekutana na Dk.Shein Ikulu Zanzibar