News and Events

Dk. Shein amerejea nchini akitokea nchini Uingereza kwa Ziara maalum


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk. Ali Mohamed Shein, amerejea nchini akitokea nchini Uingereza.

Katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume, viongozi mbali mbali wa vyama vya siasa na Serikali pamoja na wakuu wa vikosi vya ulinzi na usalama wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar walimpokea Dk. Shein wakiongozwa na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idd.
Dk. Shein katika safari hiyo maalum ya nchini Uingereza,alifuatana na Mkewe Mama Mwanamwema Shein pamoja na Watendaji wengine wa Serikali.

Dk. Shein amerejea nchini akitokea nchini Uingereza kwa Ziara maalum