News and Events

Dk.Shein akipokea Ripoti ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar ya mwaka 2015 kutoka kwa Mwenyekiti wa Tume

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk.Ali Mohamed Shein akipokea Ripoti ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar ya mwaka 2015
kutoka kwa Mwenyekiti wa Tume hiyo Mhe,Jecha Salim Jecha (kushoto) katika hafla fupi iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,

Dk.Shein akipokea Ripoti ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar ya mwaka 2015 kutoka kwa Mwenyekiti wa Tume