News and Events

Dk.Shein akizungumza na Waandishi wa Habari wa Vyombo mbali mbali


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza na Waandishi wa Habari wa Vyombo mbali mbali katika ukumbi wa VIP katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume leo akitokea Nchini Djibouti katika ziara ya mualiko wa Rais wa Nchi hiyo Mhe,Ismail Omar Guelleh,

Dk.Shein akizungumza na Waandishi wa Habari wa Vyombo mbali mbali