News and Events

Dk.Shein amefanya uteuzi chini ya Kifungu cha 66 cha Katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984

Kwa mujibu wa uwezo aliopewa chini ya Kifungu cha 66 cha Katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dkt. Ali Mohamed Shein amemteua Bwana Ahmada Yahya Abdulwakil kuwa Mjumbe wa Baraza la Wawakilishi.

Uteuzi huo umeanzia tarehe 15 Mei, 2017.

Dk.Shein amefanya uteuzi chini ya Kifungu cha 66 cha Katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984