News and Events

Dk.Shein amewakaribisha Madakatari 21 wapya na kuwaaga 21 waliomaliza muda


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza na Ujumbe wa Madaktari wa Kichina unao ongozwa na Balozi Mdogo wa China anayefanyia kazi Zanzibar Mhe.Xie Xiaowu katika mazungumzo yao Rais aliwakaribisha Madakatari 21 wapya na kuwaaga 21 waliomaliza muda kutoka Jamhuri ya Watu wa China katika ukumbi wa Ikuklu Mjini Unguja ,Kiongozi wa Madakatari waliomaliza muda Xu Zhuoqun,

Dk.Shein amewakaribisha Madakatari 21 wapya na kuwaaga 21 waliomaliza muda