News and Events

Dk.Shein atafanya Mahojiano na waandi atakapo fika Uwanja wa Ndege saa 10:00 alaasiri tarehe 9/3/017


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk. Ali Mohamed Shein anatarajiwa kuwasili nchini kesho Alkhamis tarehe 09/03/2017 saa 10:00 alasiri kutoka nchini Indonesia ambako alihudhuria mkutano wa jumuiya na nchi zinazopakana na Bahari ya Hindi -Indian Ocean Rim Association (IORA) uliofanyika Mjini Jakarta,Nchini Indonesia.

Mkutano huo ulianza tarehe 5/03/2017 hadi 07/03/2017 kwenye mkutano huo Mheshimiwa Dk.Shein alimuakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano Mheshimiwa Dr.John Pombe Magufuli.Atakapofia uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abaeid Aman Karume atafanya mahojiano na waandishi wa Habari.