News and Events

hafla ya uchangiaji wa Vifaa vya michezo katika Skuli za Serikali za Zanzibar


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk.Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein wakiwa na Viongozi mbali mbali katika hafla ya uchangiaji wa Vifaa vya michezo katika Skuli za Serikali za Zanzibar iliyofanyika katika Ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi Mmoja Mjini Unguja akiwepo Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mzee Ali Hassan Mwinyi

hafla ya uchangiaji wa Vifaa vya michezo katika Skuli za Serikali za Zanzibar