News and Events

Nishani zilizotolewa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe, Dk.Shein


Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Issa Haji Ussi (Gavu) alipokuwa akizungumza na Waandishi wa Habari wa Vyombo mbali mbali vya Serikali na Binafsi hapo Ikulu Mjini Unguja,wakiwepo na watendaji wa wengine kuhusu Nishani mbali mbali zilizotolewa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk.Ali Mohamed Shein,zikiwemo Nishani ya Mapinduzi kwa Viongozi wenyesifa za Kipekee,Makundi ya Wananchi wenye Sifa Maalum,Watumishi wa
Serikali,Mahakama na Baraza la Wawakilishi,Watumishi wa Idara maalum wakiwemo KZU,KMKM,Mafunzo na Watumishi walioshiriki Uokoaji wa maisha ya wananchi waliopatwa na maradhi ya Kipindupindu .

Nishani zilizotolewa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe, Dk.Shein