News and Events

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj DK.Ali Mohamed Shein,

alipokuwa akitoa hutuba yake kwa Viongozi mbali mbali na Wananchi katika sherehe za Baraza la Eid el Hajj lililofanyika leo katika viwanja vya Nyumba za Mji Mpya wa Kisasa Fumba Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magharibi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj DK.Ali Mohamed Shein,