News and Events

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,

alipokuwa akitoa hutuba yake kwa Wananchi wakati wa Uzinduzi wa Jengo la Mahkama ya Watoto liliopo Mahonda Wilaya ya Kaskazini B,Unguja uliofanyika leo,(kulia) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Katiba,Sheria,Utumushi wa Umma na Utawala Bora Mhe,Haroun Ali Suleiman na (kushoto) Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe,Omar Othman Makungu.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,